Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,850
- 2,732
Natambua na naheshmu great thnkers mliopo humu na ndio sababu nikapenda kuulza. Tatzo langu hli halijaanza leo wala jana, ni tangu utotoni, ilifka mahali nikaona ni kawaida ila baadae jamaa zangu walinambia ni ugonjwa na unatbika. Wengne wananipa moyo kwamba ni kawaida. Kinachonisumbua ni pale ninapokosa hata uhuru wa kushka ktu mbele za watu nikihofia kuchekwa. Tatzo lmekuwa kubwa hadi kuandka saa zingne nashndwa kuishka kalam na kuishia kuandka neno nisivyokusudia. Ndugu zangu najua wapo wanaopenda mzaha na hawakataliwi kwenye jamii, ila mimi hapa sijaomba mzaha ila msaada. Nitafurahia michango yenu nyote. Asanteni