Wengine mnahitaji maombi zaidiTazama wabunge wa upendeleo wa chadema utapata jibu, katembelee ofisi za chadema utapata jibu, msikilize Nassari utapata jibu. Marafiki zao wa nje ni CDU, utapata jibu.
Juzi juzi Slaa katoka Vatikan, utapata jibu.
kwani kikwete hakuwahi kwenda vatican...? Na akamwalika pope kuja taznzania..........?tazama wabunge wa upendeleo wa chadema utapata jibu, katembelee ofisi za chadema utapata jibu, msikilize nassari utapata jibu. Marafiki zao wa nje ni cdu, utapata jibu.
Juzi juzi slaa katoka vatikan, utapata jibu.
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo kimetokea kujizolea umaarufu na kujiimarisha kwa kujizolea wanachama wengi na kuongeza idadi ya wabunge mjengoni kuanzia wa kuchaguliwa mpaka wa viti maalumu. Hii inaonekana kuwatia hofu chama tawala hasa walivyo na wbunge wengi vijana. x x x x x Lakini kwa upande mwingine CHADEMA kimekuwa kikitafsiriwa kama chama kilichogubikwa na UKANDA, UDINI na UKABILI iliopindukia huku kikianikizwa kama chama kinachohamasisha uvunjifu wa amani kupitia maandamano na kauli mbalimbali za viongozi wake. x Wana jf naomba mtazamo wenu juu ya mustakabali mzima wa chama hiki kinachoonekana kupata nguvu kubwa hasa kupitia kwa vijana ambao ndo wengi ndani ya nchi hii.
Hivi ribosome na zomba wanauhusiano gani mbona ukimquote zomba anatokea ribosome na hii nimeiona mara nyingi
Huyu RIBOSOME anaweza kuwa ndiyo yule Faiza Fox (Mchungaji Rwakatare)