Kevin Biharagu Member Joined Nov 10, 2021 Posts 12 Reaction score 21 Mar 2, 2023 #1 Nini maana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi?
Nini maana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi?
Izy_Name JF-Expert Member Joined Apr 9, 2020 Posts 1,061 Reaction score 2,555 Mar 2, 2023 #2 Tiale mwenzetu huyu hapa kaisha lizwa njooni tumpe pole leo hajui maana ya mapenzi
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,406 Reaction score 21,795 Mar 2, 2023 #3 One man Down... I repeat... One Man down.... Do you copy Sir? Over
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,910 Reaction score 31,735 Mar 2, 2023 #4 Kevin Biharagu said: Nini maaana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi? Click to expand... Pole mapenzi ni ya watu walioshiba ndugu😅
Kevin Biharagu said: Nini maaana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi? Click to expand... Pole mapenzi ni ya watu walioshiba ndugu😅
Kevin Biharagu Member Joined Nov 10, 2021 Posts 12 Reaction score 21 Mar 2, 2023 Thread starter #5 Amehlo said: Pole mapenzi ni ya watu walioshiba ndugu[emoji28] Click to expand... Najiuliza Sana, neno hili mapenzi na sijawahi pata jibu ndo maana nimeuliza
Amehlo said: Pole mapenzi ni ya watu walioshiba ndugu[emoji28] Click to expand... Najiuliza Sana, neno hili mapenzi na sijawahi pata jibu ndo maana nimeuliza
Lloyd Munroe JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 14,257 Reaction score 35,537 Mar 2, 2023 #6 Ni uhuni wa kuchezeana akili
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,806 Reaction score 61,664 Mar 2, 2023 #7 Kevin Biharagu said: Nini maaana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi? Click to expand... 1. Mkakati wa Kukupa UTI na Gono 2. Kuunganisha vikojoleo Upate Gono 3. Ili Upate STDs na kupukutishwa salio lako 4. Sababu ya Nyege na Pesa
Kevin Biharagu said: Nini maaana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi? Click to expand... 1. Mkakati wa Kukupa UTI na Gono 2. Kuunganisha vikojoleo Upate Gono 3. Ili Upate STDs na kupukutishwa salio lako 4. Sababu ya Nyege na Pesa
sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,743 Reaction score 6,240 Mar 2, 2023 #8 "Love is admiration for strength, tolerance for weakness and recognition of ambivalent." Someone said that and i agree totally.
"Love is admiration for strength, tolerance for weakness and recognition of ambivalent." Someone said that and i agree totally.
Infinite_Kiumeni JF-Expert Member Joined Jan 23, 2023 Posts 382 Reaction score 692 Mar 2, 2023 #9 Kevin Biharagu said: Nini maana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi? Click to expand... Zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi.
Kevin Biharagu said: Nini maana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi? Click to expand... Zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi.
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,982 Mar 3, 2023 #10 Kevin Biharagu said: Najiuliza Sana, neno hili mapenzi na sijawahi pata jibu ndo maana nimeuliza Click to expand... mapenz ni mvurungano
Kevin Biharagu said: Najiuliza Sana, neno hili mapenzi na sijawahi pata jibu ndo maana nimeuliza Click to expand... mapenz ni mvurungano