Nini maana ya machozi yangu?

Mzillar

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
34
Reaction score
40
Habar wana jf, ni muda sasa sijaweka uzi humu mara nyingi hua napitia nyuz za watu ili kupata knowledge mbalimbal.
Kwa Leo nikua naomba kuuliza kutoka kwa wajuvi mbalimbali na wataalamu wa saikolojia juu ya machozi yangu pindi napopatwa na jambo linaloniumiza mpk nikatoa machozi ila baada ya siku kadhaa nasahau machungu na maisha kuendelea. Mfano miaka 2 ilopita kuna mdada alikua mpz wangu akawa ananizingua sna vitabia vya dharau ingawa sikuwah kumfuma na issue za kucheat alinitesa kimawazo mpk ikafikia kipind nkatoa machoz nkiwa nae geto kitokeo cha pale sikumpenda tena hata alipokuja kushika ujauzito still sikua na mapenz nae na nikamwambia simpend bora aniache mwenyew!!! Kisa kingne juz kati tuuu kuna mdada tuliachana nae bas nkakaa kama mwez bila mawasiliano nae ikatokea cku moja nikiwa job nkamuwaza sna mpk nkatoa machoz, bas leo kanipigia simu anibembeleze turudiane nimemuambia simtak wala sina mpango tena...
SASA, najiuliza machozi yangu yanamaanisha kuchokaaa au kuridhika??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NB. Washauri wazuri kuhusu maswala ya mapenzi hua hawapo kwenye uhusiano.
Why?
Coacher never play
 
Labda ndugu Mshana Jr anaweza kukusaidia kwa hili.
 
Ashawah kunikwaza mdogo angu nikalia nikatoa chozi baada ya siku kadhaa nikajikuta namchukulia Poa tena sina ukaribu nae kama ndugu, hata salam naweza kumpita kiufupi nikilia kwa uchungu kwa ajili ya kuumia bas baadae nafsi inapata aman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka ushauri au unataka nini. Anyway kulia ni kitu kizuri sana pale unapokua na machungu cz inatoa sumu mwilini mi nakushauri usiache kulia.

sent using samsung galaxy s8
 
Weye ni cry-baby!Usichukulie serious maoni yangu utaumiza kichwa chako bure ulie tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…