Shikamooni wakubwa ,
Waswahili wanasema kuuliza sio ujinga ila lengo ni kutaka kujua.
Sisi wengine tumezaliwa miaka ya 1990.hivuo mambo mengi hatuyafahamu vizuri .
Nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu kauli moja inayosema "KAMA CHAMA NA MONGELA" Ila hadi leo hii sifahamu ni kwa nini imetokea hivyo ,
Hivyo wakubwa zangu naomba mnijuze kijana wenu ili nami nielewe.