Ni jina lenye asili ya kiskoti. Wanadai ni mtu mwenye muonekano bomba. Wavuti ya johnthebapatist inadai kikristo Ina maanisha mtu mwenye ujasiri.
Lakini hayo yote ni kwa ajili ya wazungu.
Kwa karne hii, msukuma (kwa mfano) kupewa jina la kiskoti ni aibu kubwa!
Kwanini asipewe jina la kisukuma tu badala ya hiyo colonial tag?