STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 75
ndug wanaforum me ni mgeni ktk hili jukwaa lakn naomba msaada wenu kuhusu hii data roaming. kuna jamaa ana cm ya vodafone vf685. cm yake ikiwa kwenye mtandao wa 2g inakuwa na speed ya 3g kwan huandika RH+ na speed yake huwa kubwa xana kufkia 589kb/s. kwa nini cm yake inafanya hvo. ni settings gan zimewezesha cm yake kuwa hivo. mwenye kujua kuhusu ili atupie hapa ili tuona kama cm zingine za.tecno na samsung kama zinaweza kuaccept settings izo. nawashukuru
nashukuru xana wanajamvi. me bahati mbaya nipo kwenye network ya voda na airtel ya 2g ntafanyaje kutumia hii huduma ya 3g kwa kutumia data roaming. kwani yupo jamaa yangu cm yake aina ya vf685 inanasa na spid ya kutosha. thnx
ndug wanaforum me ni mgeni ktk hili jukwaa lakn naomba msaada wenu kuhusu hii data roaming. kuna jamaa ana cm ya vodafone vf685. cm yake ikiwa kwenye mtandao wa 2g inakuwa na speed ya 3g kwan huandika RH na speed yake huwa kubwa xana kufkia 589kb/s. kwa nini cm yake inafanya hvo. ni settings gan zimewezesha cm yake kuwa hivo. mwenye kujua kuhusu ili atupie hapa ili tuona kama cm zingine za.tecno na samsung kama zinaweza kuaccept settings izo. nawashukuru
Kwa samsung fany hv, enable data roaming kwa ku tick kweny data roaming, alafu ingia kweny network operator fanya manually search , utaona netwerk imeandikwa 64001, au tritel bas uki select hyo netwrk utakuwa ume set 3g data roaming na hata ukiwa 2g area utaenjoy 3g speed