Nini maana ya Chasmaric

Tatizo lako akili ndogo wapi imeandikwa charismatic movement

Unawaza ubwabwa tu...

Exactly.

Mbona uliikata hukuiandika. Na hilo nnauhakika ndiyo anataka kufahamu muulizaji.

Mbona hamkuja kujibu mwanzo? Semeni kweli tu, ilikuwa hamjaelewa alichouliza.

Ulitaka niwaze mbege?

Punguani wahed.
 
Tatizo lako akili ndogo wapi imeandikwa charismatic movement

Unawaza ubwabwa tu...
charismatic
/karɪzˈmatɪk/
adjective
  1. 1.
    exercising a compelling charm which inspires devotion in others.
    "he was a charismatic figure with great appeal to the public"
    synonyms:charming, fascinating, full of personality, strong in character; More

  2. 2.
    relating to the charismatic movement in the Christian Church.
noun
  1. 1. an adherent of the charismatic movement.
 
Kwasababu ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer "
.
 
Hivi kwa akili zako finyu niifahamu maana ya pili ya kwanza nisiifahamu?

Niliwafafanulia tu swali la mleta mada na nikawaacha waenda kanisani mje hapa kutoa ufafanuzi wa "charismatic movement".

Mbona mnalikimbia sana hilo? Au na lenyewe ndiyo wale wale?

Kuitwa GENTAMYCINE kwa kuwa tagged kwenye uzi wa wazi hakumaanishi kuwa mleta mada hakutaka wengine wachangie wajuavyo. Angetaka wengine wasichangie angetumia PM. Au unadhani hilo halielewi? Kasome vizuri alipo mtag kasema "nisaidieni" hakusema "nisaidie".

Binafsi nimehisi kuwa mleta mada anataka maana pana zaidi ya ilivyo kwenye kamusi.

Kwa bahati mleta mada mwenyewe akanipa ahsante kwa kuliweka sawa hilo neno.

Haya tuchukulie maana ya kwanza mmeshamfahamisha, ndiyo basi? Darsa limeishia hapo? Hamtaki aelewe na wengine tuelewe lina maana zipi zingine? Na kanisani linatumika vipi mpaka kamusi ieleze kuhusu "charismatic movement"? Ambalo kwa makusudi kabisa mliiminya hiyo hata mlipo kopi na kupesti maana moja tu.

Huwa sikisii.
 
Hapa ndipo ninapokutofautisha na wajukuu.Akili kubwa.Unachambua uzuri sana.Ila sisi vichwa ngumu lazima tukuchokoze ili umwage mambo.Bravo!
 
Exactly.

Mbona uliikata hukuiandika. Na hilo nnauhakika ndiyo anataka kufahamu muulizaji.

Mbona hamkuja kujibu mwanzo? Semeni kweli tu, ilikuwa hamjaelewa alichouliza.

Ulitaka niwaze mbege?

Punguani wahed.
Tatizo la kutembea na pilipili na ndizi hadi kwenye misiba ukitafuta ubwabwa lazima uwe na akili za mabroila...

Umegeuka msemaji wa alieuliza swali kwamba shida yake ni maana ya pili wapi kaandika hivyo....

Tatizo lako wewe bibi umehasiwa akili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…