Nini maana ya Chasmaric

Kama ni carismatic ya kikatoliki ,ni mpango uliokubaliwa na Vatican katika kuamsha uamsho katika mambo ya sala . Ni mfumo wa asili ya ulokole . Ikipigwa sala na mafungo ya uhakika , mapepo yote yanapagawa .
 
Hahahaaa umenifurahisha kweli eti mapepo yanapagawa hahaaha
 
Nadhani ni charismatic si hivyo ulivyoandika.

Ni mambo ya kikanisani. Ngoja waje
charismatic
/karɪzˈmatɪk/
adjective

  1. 1.
    exercising a compelling charm which inspires devotion in others.
    "he was a charismatic figure with great appeal to the public"
    visawe:charming, fascinating, full of personality, strong in character
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…