Usemi huwa naisikia tu.sijui inamaana gani.wana jf eti ukimuomba binamu yako mchezo je ni dhambi.coz kuna binamu yangu ametokea kunivutia kimapenzi.je nimuombe au ni dhambi?? Niache hii ni kutokana na mila na desturi ya kiafrika

Kimbia, ogopa, acha, kaa mbali kabsa izo ni dalili za laana kwenye familia ata kizazi chako kitaitafuna iyo dhambi itafika kipind watoto zako wa kuwazaa wew wataanza kufanya iyo michezo coz damu ya uchafu inatafuna kizaz chako
Ila kaumbika si mchezo.hadi namuone wivu atakae muoa.basi bhna ngoja nisimtamani tena
Kuanzia leo mimi ni rafiki yako
Usemi huwa naisikia tu.sijui inamaana gani.wana jf eti ukimuomba binamu yako mchezo je ni dhambi.coz kuna binamu yangu ametokea kunivutia kimapenzi.je nimuombe au ni dhambi?? Niache hii ni kutokana na mila na desturi ya kiafrika
Nimeacha kaka
Mwenyezi Mungu niepushie na hicho kitu kabisaaaa yani binamu????