Eeee bwana eee mimi nina experience na hicho kitu. Sema sijui unamaanisha nini by kumuua, kumuua kweli au kumuua kumuumiza? Anyway mimi nimeelewa kumuumiza.
Siku zote huwezi kufight na nature, women are wired differently from men. Wanawake wapo more emotional than wanaume, kwa maana hiyo mwanaume akimwambia mwanamke anampenda, mwanamke anaanza kua attached, hata kama hakupendi. That's how they are. Baada ya muda atadevelop feelings tu, ni lazima. Kwani wanaume wangapi wamekuwa na ubavu wakumtamkia hivyo. Women love confidence.
Je ukimpotezea? Hapa sasa unatakiwa utumie akili, sio kwamba eti umemuona mwanamke leo ukamwambia unampenda alafu ukampotezea, na yeye atakupotezea tu. Lakini kama ulikuwa karibu nae, kwa maana ya urafiki, mnaongea wote etc, ukamwambia unampenda alafu later on ukaanza kua distant, mawili yanaweza kutokea... A) anaweza kukupenda zaidi, siku zote sisi binadamu tunapenda vitu tusivyo kuwa navyo. Mfana wewe uliitamani sana iPhone 6, umepata hela umenunua lakini utaipenda iPhone 7 kwa maana hauna hela, ukiipata utaichoka utapenda kingine amabacho hauna. B) anaweza kukuchukia vibaya sana. Hii sijawahi experience wala kuona. Actually A is more common.
TL;DR women love challenges, if you are too nice on her she will lose interest. Nasikia hata kwenye marriages na relationships you have to be distant muda flani, ilikukeep the fire burning. Kwa niliyoyaona mi naona atakupenda zaidi, anaweza asionyeshe but moyoni atakupenda tu. That's nature. Anyway on my side I am playing a dangerous game huyu Dada niliye nae sasa hivi siwezi kumpotezea, I hope nature won't take its course akanichoka
UPDATE: plus you never ask a fish how to fish. Kwa maana usiwaulize wanawake how to attract them, ask the fisher man
-callmeGhost