Nini kinacho changia uso kuwa mkavu nakuwasha

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Salaaam wakuu Eshima mbele samahani naomba kuuliza nipate Masada wawa taalam wetu humu nini kinacho changia uso kuwa mkavu nakuwasha ??

Natiba yake niipi ili kurejea kawaida coz Nina kitu Kama mwezi sasa uso unawasha nakuwa mkavu niliambiwa namafuta mengi ivyo nitumie lotion flan nimetumia ila Naona ndio imezidisha

Natanguliza shukraan
 
Hiyo ni ishara ya kuwa mwili wako haupati maji ya kutosha kitaalam wanaita some dehydration......Na hii hali huwapata zaidi watu wanaoishi sehemu zenye baridi kali au l wastan wakihofia kunywa maji kwa nia ya kutokojoa mara kwa mara.......Cha kufanya hakikisha unakunywa maji ya kutosha na hiyo hali itaisha by Dr.RASO
 
Iwe some or severe dehydration sio uso tu unaopata athari,ni mwili mzima na haisababishwi na mafuta.

Philips X2560
 
Hiyo ni ishara ya kuwa mwili wako haupati maji ya kutosha kitaalam wanaita some dehydration......Na hii hali huwapata zaidi watu wanaoishi sehemu zenye baridi kali au l wastan wakihofia kunywa maji kwa nia ya kutokojoa mara kwa mara.......Cha kufanya hakikisha unakunywa maji ya kutosha na hiyo hali itaisha by Dr.RASO
Nashukuru Sana'a dokta blessed horn
 
Back
Top Bottom