Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 479
Mkuu najua unajipooza kwa kujadili ya simba hivi unajua chirwa ana muda gani yanga na kafunga magoli mangapi achia gharama ya usajili wake na mshahara kwa mwezi? Kichuya ni winga na chirwa ni streka unashangaa nini kutofunga? Hata asingefunga goli hata 1 kwetu poa tunachotaka ni msaada wake kwenye timu ndo maana hakai benchi kama chirwa mnaemlipa pesa nyingi bila kazi yoyote.. Ukikaa bila kuiwaza simba unadhani utakufa? Ulileta uchambuzi hewa hapa mwisho ukaukimbia uzi wako leo tena umekuja na kichuya tena duuhh hongera mkuuAlianza kwa kasi ya mbwembwe ndani ya klabu ya Simba,hakujua kuwa kuna wale waliomtangulia walianza na mbwembwe na kushindwa....
Akitokea timu ya Mtibwa Sugar, katika mechi 13 za awali Ligi Kuu alifanikiwa kufunga magoli 9.
Ikumbukwe!
Alianza kwa kasi ya mbwembwe katika Ligi Kuu, baada ya kufumania nyavu mara tisa ndani ya michezo 13 pekee!
Mara ya mwisho winga huyu kufunga goli ni dhidi ya Stand United mwezi wa kumi na moja , mjini Shinyanga, akifunga goli lake kwa mkwaju wa penati.
Tangu mchezo huo imeshapita michezo 11 bila winga huyu kufumania nyavu za timu pinzani, michezo mitano ya Ligi Kuu Bara African Lyon, Tanzania Prisons, JKT Ruvu, Ruvu Shooting na Ndanda FC hali kadhalika michezo 6 ya kombe la Mapinduzi KVZ, Taifa Jang'ombe, Jang'ombe Boys, URA, Yanga na Azam.
Michezo 11. Hii hijawahi kutokea kwa mchezaji yeyote yule wa Dar es salaam Young Africa SC, mara ya mwisho mfumania nyavu wa Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa LigiKuu Bara kucheza mechi nyingi bila kusalimiana na nyavu ilikuwa mwaka 1983- ambapo mshambilizi hatari wa Yanga SC kipindi hiko ''Makumbi Juma'' alicheza michezo 8bila kusalimiana na nyavu.
Wewe ndo ulidhani ukishinda 6 basi ndo bingwa mwisho mliishia kuolewa na mnyamaacha kuamini kuwa kuongoza ligi ndio kuwa bingwa...
nilikuthibitishia hili msimu uliopita.....ila bado hujajifunza.
mu mtegemeaye kwenye kutupia magoli ndio huyoooo..."AMESHA KATA UPEPO".
Mkuu najua unajipooza kwa kujadili ya simba hivi unajua chirwa ana muda gani yanga na kafunga magoli mangapi achia gharama ya usajili wake na mshahara kwa mwezi? Kichuya ni winga na chirwa ni streka unashangaa nini kutofunga?u
Mkuu najua unajipooza kwa kujadili ya simba hivi unajua chirwa ana muda gani yanga na kafunga magoli.
Hata asingefunga goli hata 1 kwetu poa tunachotaka ni msaada wake kwenye timu ndo maana hakai benchi kama chirwa mnaemlipa pesa nyingi bila kazi yoyote..
Mkuu..Mkuu, mechi 11 si mcheo aisee...
ukizingatia ni mshambulizi tegemezi kwenye upachikaji mabao!
ni wepesi sana kusahau nina imani kipindi hiki ndicho kitakuwa fundisho kwao....pale watakapoona na kushuhudia Mabingwa watetezi wakibeba ndoo kwa mara nyingine..Msimu wa tatu matopeni wanaanza vizuri lakini lazima wapotee mwishoni.
Imeishakuwa kawaida yao!
Tangu mpate mabao ya matuta mmekuwa na mihimko na mabao!Mkuu..
Hivi bado tu Potable Alcohol, 4GLTE haijaisha..?
Kama ni hivyo mbona nilikutwanga 5-0 ndani ya dak 90, halafu kwani matuta yanatokana na netball au football..?Tangu mpate mabao ya matuta mmekuwa na mihimko na mabao!
sisi tunapiga watu bao 6 tena ndani ya uwanja wa dakika 90. huwa hatungojei kutengewa mipira ya matuta.
hii ni tofauti kubwa sana kati ya klabu ndogo na klabu kubwa!lol
Kama ni hivyo mbona nilikutwanga 5-0 ndani ya dak 90, ?
Mavugo anagoli ngapi na amefika lini na chirwa je huu msimu wa pili kafikisha goli 6 tangu aje?Huyo Mavugo mnayemlipa pesa kidogo kuliko Chirwa amempita mabao mangapi Chirwa?
Sie tunapiga 3 kushuka ila point 3 nyie mnapiga 6 na kuendelea na point 7 kila mechi...nimekuwa nikipiga watu sita sita hata huku kwenye ligi.....
ni kawaida yetu yanga..
nadhani kwenu si kawaida hii...
Sie tunapiga 3 kushuka ila point 3 nyie mnapiga 6 na kuendelea na point 7 kila mechi...
usihangaike kwa kuzunguka chini ya uvungu.Mavugo anagoli ngapi na amefika lini na chirwa je huu msimu wa pili kafikisha goli 6 tangu aje?