Nani mwenye matokeo mazuri..ukiacha hiyo Simba? Hisia zangu zinakuwa kweliKufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
...Hamjui hata kwanini sisi vidagaa tulitolewa pale...:Hamumjui Mangungu ni nani pale na Amewekwa na nani.
:Hamjui kwanini Swedi Mkwabi alijiuzuru.
:Hamjui kwanini Akina Senzo walitolewa simba wakaondoka.
:Hamjui seke seke la Akina Haji
Hamjui hata kwanini sisi viagaa tulitolewa pale.
Huyo siyo mzuri sana kuna wakati anakupa kitu unaona anaweza lakini hizo pimbi mbili hizo hamna kitu hasa huyo Fred ndiyo lumpeni kabisa. Dirisha kubwa hili hii mizigo yote iondolewe tunahitaji striker anayelijua goli liko wapi. Hakuna haja ya kuwa na wa wachezaji 12 wa kigeni ambao wanazidiwa viwango na wazawa. Mo avunje benki tupate wachezaji wanaoweza kutuvusha hapa tulipokwamia kwa miaka mitano hii. Wampe kocha mahitaji ya wachezaji anaowahitaji .Kwa nini hamumsemi babacar sarr?
Huyu ni mchezaji wa kawaida sana lakini ndio hivyo yupo sana simba
Sasa tytakuwaje nayo mkuu, hawa akina mo, try again, na akina mangungu ndio wanaoturudisha nyumaTuache maneno mengi, na majungu. Tuwe na mifumo mizuri ya kimkakati, tuache sajili za kujionesha et mchezaji ghali wakati hana kiwango, tuachane na msemaji wetu mwongomwongo, benchika apewe kipaumbele kwenye scouting ijayo, mo share zake zipungue, tuache drama mitandaoni. Wazee kwenye timu watupishe wamefanya kazi nzuri hatuwadai,.... yapo mengi ila ya kuanzia ni hayo
Bosi wapi kanjanja tu yule, mbona hatuoni impact yake kwenye timuUnamfukuzaje bosi,,,,,mkitaka asepe mpeni pesa yake
Mo hatoi hela, ni bahili, simba tuna poor scouting, manzoki aliletwa kwenye mkutani mpaka leo hatujawahi kumuona,ukiangalia wachezani walioondoka na walioletwa ni mvingu na ardhiMo hana shida,hela ya usajili anatoa wanasajiliwa wachezaji toka Tandika na Mwananyamala. Unaondoa Baleke na Phiri unaleta Jobe na Cobra hizo ni akili au makamasi tu? Mangungu na uongozi wote waondoke hakuna mtu wa mpira pale wote wapigaji tu.
Umenena vyema mkuu, na pia zabuni zitangazwe watu waombe, waje hata waarabu wa dubai waichukue timu tiachane na hawa makanjibai mabahili sanaUONGOZ FUKUZA KULE.MO SHARE IPUNGUZWE HADI 20.WACHEZAJI WAZEE WAONDOLEWE
Aisee afadhali na wewe umeliona hilo, mimi kila siku huwa nasema tatizo number moja la simba ni mo na metlMatatizo pale Simba yanaanzia kwa MO Dewji uyu bwana ni mjanjajanja tu! Hakuna mwekezaji humo.
Ukitizama toka amekuja Simba usajili unaofanyika ni wa kuvizia na kubahatisha sana! Hakuna muendelezo wala hakuna plan ya maana inayoonekana, na yeye kutwa kuchwa ni kulalamika tu! Nafikili ifike pahala kwakuwa uwekezaji bado taratibu zote hazijakamilika atoke tu! Timu ipate muekezaji mwingine mwenye vision ya maana.
Tunamshukuru kwa mchango wake hapo Simba ni wakati wa yeye kuondoka.
Ndiyo upuuzi wa uongozi kuleta Manzoki kuombea kura ule ulikuwa upuuzi na hata wanachama wenzetu wa Dar waliomchagua Mangungu kwa gia hiyo ya Manzoki hawakututendea haki. Mo hela anatoa akiletewa wachezaji wazuri Ndiyo maana alimsajili Ayub kwa bei kubwa. Mtu wa scouting ndiye anatuangusha,atafutwe mtu mwenye ulewa mzuri siyo huyu anatuletea malonyalonya. Na tukifeli dirisha kubwa hili hata NBC next season tutapata tabu sana.Mo hatoi hela, ni bahili, simba tuna poor scouting, manzoki aliletwa kwenye mkutani mpaka leo hatujawahi kumuona,ukiangalia wachezani walioondoka na walioletwa ni mvingu na ardhi
Haupo sawa kichwani! Yaani zawadi ya boxer pikipiki haifai?! Wewe uliwahi kumpa mtu zawadi yeyote? Harafu usiandike vitu ki mihemko, unaonekana ulivyo mjinga unatia aibu ukoo wakoUmenena vyema mkuu, na pia zabuni zitangazwe watu waombe, waje hata waarabu wa dubai waichukue timu tiachane na hawa makanjibai mabahili sana
Yaani tajiri mzima unaenda kuwapa wachezaji zawadi ya pikipiki ya boxer,JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you kanjibai
Yaani hata uwekezajj wake simba haueleweki,mtu alisema anaenda kununua bond za 20billion halafu ile faida inayopatikana ndio iendeshe timu, uwekezaji gani huo wa kijinga
Acha usenge wewe, yaani unaenda kuwazawadia wachezaji pikipiki ya boxer ili upromote bidhaa yako, pikipiki kabisa, hio ni dharau kubwa sana kwa timu yetuHaupo sawa kichwani! Yaani zawadi ya boxer pikipiki haifai?! Wewe uliwahi kumpa mtu zawadi yeyote? Harafu usiandike vitu ki mihemko, unaonekana ulivyo mjinga unatia aibu ukoo wako