Nini dawa ya kumaliza tatizo la kiungulia?

Wadau nini dawa ya kumaliza hili tatizo.nimetumia magnesium na baadhi ya dawa lkn bado.watalam naombeni nini dawa na ushauri
chemsha maji ya moto kwenye kikombe kimoja kisha tia kijiko 1 cha Tangawizi mbichi uliyo saga vizuri, koroga vizuri acha kwa dakika moja ipite kunywa asubuhi mchana na usiku kila siku utapona hicho kiungulia chako.
 
hili tatizo liliwahi nikumba kipindi flani nikashauliwa kutumia supu ya bamia mpak leo nalisikia tu kwa watu,tafuta bamia katakata vipande vidogovidogo chemsha kwa maji kiac na chumvi zisi ive sana mpak rangi ikabadilika chemsha kiac tu then kunywa ndani ya wiki nzima binafsi ndo tiba niliyoelekezwa nikaitumia ikaniponya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom