Nini dawa ya hili jipu hili?

godfrey_avya

Senior Member
Feb 25, 2014
131
24
Wakuu nimevimba jipu sehemu ya mkono wa kushoto na ndyo nautegemea kwa kila kitu
Jipu hli lilianza siku ya jumamosi iliyopita ni kama kudungu tu kidogo ambacho hakiumi baada ya siku nne mara mkono ukaanza kuvimba ilinibidi nivumilie kwa sababu namitihani na kuikosa siwezi.
Keshoyake nikakitoboa mana kilionekana kijipu.
mkono ulivimba na nikaambiwa nisubiri mpaka kiive
Jana nilikamua nikatoa kile kiini cheupe.
Jioni nikaona usaha unatoka nikaukamua.
leo namka nakuta mkono umevimba vidole vyote na pale kwa juu pamevimba na panavuta.



Leo hakuna hospitali iliyo wazi ila mkinipa tiba ya kupunguza uvimbe huu ili niweze kuandika kesho nitakwenda hospitali
thanks in advance
 

Attachments

  • 1452404079790.jpg
    1452404079790.jpg
    40.4 KB · Views: 87
kuwa makini sana umepata kitu kinaitwa cellulitis ambayo inaweza kukusabishia matatizo makubwa na kesho usihamuke tafadhali nenda hospt yoyote utatibiwa kama emergency case,,fanya hvyo mkuu,,kwa mawasiliano zaid njoo inbox
 
Back
Top Bottom