namparu Member Joined Jul 6, 2014 Posts 38 Reaction score 15 Feb 10, 2018 #1 Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio
Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio
J julius milla JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 633 Reaction score 329 Feb 10, 2018 #2 namparu said: Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio Click to expand... Asamoah Gyan.
namparu said: Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio Click to expand... Asamoah Gyan.
maamuzi sahihi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 288 Reaction score 165 Feb 10, 2018 #4 Yanga kafungwa ngapi wazee
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,001 Reaction score 134,194 Feb 10, 2018 #5 Yanga inatia aibu,mpira gani ule kama ndondo. Kandanda ipo kesho
Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,662 Feb 10, 2018 #6 namparu said: Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio Click to expand... Ila umesahau spelling. Ni Roberto Bagio..
namparu said: Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio Click to expand... Ila umesahau spelling. Ni Roberto Bagio..
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Feb 10, 2018 #7 Malyenge said: Ila umesahau spelling. Ni Roberto Bagio.. Click to expand... Roberto Baggio.
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Feb 10, 2018 #8 namparu said: Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio Click to expand... sijakuelewa mkuu,kwani Chirwa analaumiwa kukosa Penalty au kukosa penalty 2 karibu karibu,Kwani Baggio alikosa penalty 2 kwa mechi za karibu karibu kama Chirwa??
namparu said: Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio Click to expand... sijakuelewa mkuu,kwani Chirwa analaumiwa kukosa Penalty au kukosa penalty 2 karibu karibu,Kwani Baggio alikosa penalty 2 kwa mechi za karibu karibu kama Chirwa??
Mhdiwani JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 650 Reaction score 712 Feb 10, 2018 #9 Chirwa anabahati tu yakufunga lkn sio mchezaji yule hana hadhi yakuchezea yanga
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,984 Reaction score 11,794 Feb 11, 2018 #10 Mhdiwani said: Chirwa anabahati tu yakufunga lkn sio mchezaji yule hana hadhi yakuchezea yanga Click to expand... Kacheze wewe basi.
Mhdiwani said: Chirwa anabahati tu yakufunga lkn sio mchezaji yule hana hadhi yakuchezea yanga Click to expand... Kacheze wewe basi.
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,690 Reaction score 5,556 Feb 11, 2018 #12 namparu said: Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio Click to expand... Kwahiyo wewe hutaki watu, tupambane na hali zetu, tukapambane na ya Bagio, yanatuhusu.
namparu said: Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio Click to expand... Kwahiyo wewe hutaki watu, tupambane na hali zetu, tukapambane na ya Bagio, yanatuhusu.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,501 Reaction score 27,285 Feb 11, 2018 #13 Basi asiwe anapiga kama ndio hivyo