Ningeshangaa sana kuelekea hizi Mechi Mbili Kubwa na za Maamuzi Ajali Mbaya zisitokee nchini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,852
109,552
Juzi tumeanza kwa kutoa Sadaka kwa Watoto Yatima na Wasiojiweza na Leo Alrajiri Jini ameshashibishwa Chakula chake pendwa cha Damu huku Watu Maalum wakifuata Kitu fulani Ajalini ambacho Babu alisema kyinahitajika na baada ya kupatikana sasa Jini Kafurahi mno hivyo Farao hatoamini Macho na Masikio yake pale Temeke.

Wa leo hupenda Damu za Ajalini kwa Mafanikio yake na wa Kesho hupenda Maiti hasa kwa Kuifukia Ufukweni au Uwanjani.
 
Nipo hapa Kwetu Mkoani Gisenyi nchini Rwanda na hakuna Ajali yoyote ile. Ni Ajali gani imetokea na wapi?
 
Mkuu hii kweli kabisa
 
Mkuu huwa hamjui kuheshimu misiba ya watu? Unaandika kama aliekufa ni mbuzi.
 
Genta ulisema mwezi Ramadhan majini hayafanyi ulozi au umesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…