ningekuwa Jogooo....!!!

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,540
Reaction score
62,053
ningekimbiza saraM mpaka nakamata,nakimbiza mayasa mpaka nakamata,namfuata bebiii nakimbiza mpaka nakamata,husninyo nakamata nampigia pande PAW,Angel msoffe nakimbiza mpaka nakamata,X-GIRLFRIEND nikikamata nampigia pande painkiller,lizzy nakamata nampigia pande THE BOSS,dena amsi nakamata nampa krolokwin,1lady kimbiza kamata wewe,asha dii nakamata nampigia pande tusker baridiii.kisukari nakimbiza nakamata.ningekua jogoo sijui nani angekwepesha.mia
 
ungekuwa jogoo?ahaa nimeelewa kumbe we ni mtetea teh!
 
pita tu hali ya hewa hapa imekaa kiban zaidi..
 
ungekuwa jogoo, jogoo...anyway, kwa kuwa si jogoo basi ni mtetea, hivyo unapandwa na jogoo jogoo! na mimi ni jogoo, ntakutafuta nikupande.
 

Ungekuwa jogoo, ungekuwa umeishafanyiwa tambiko haaaaaa
 
Jogoo huyu huyu ambaye akiwika huwa hapakaliki tena au jogoo yupi? kuwa specific Mpwa, au "jogoo" hawiki? Mmmh haya, ngoja niwasubirie hao ambao ulitaka "kuwa-jogoo" tuwasikie wanasemaje.......
 
ungekuwa jogoo, jogoo...anyway, kwa kuwa si jogoo basi ni mtetea, hivyo unapandwa na jogoo jogoo! na mimi ni jogoo, ntakutafuta nikupande.
hahahaaaa....wewe teja kweli tena mdeadly.njoo lakini uangalie usipandwe wewe.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…