IZENGOB JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 323 Reaction score 317 Dec 15, 2020 #1 Bandugu nilifanya mapenzi na Mwanamke mmoja nashangaa uume unawasha na kunakuwa kama kuna kitu kinachoma kama sindano wala sio gono unaweza ukawa ugonjwa gani?
Bandugu nilifanya mapenzi na Mwanamke mmoja nashangaa uume unawasha na kunakuwa kama kuna kitu kinachoma kama sindano wala sio gono unaweza ukawa ugonjwa gani?
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Dec 15, 2020 #2 1. Mwagia majivu asubuhi na jioni baada ya kuoga 2. Kunywa maji ya kutosha si chini ya lita 2 kwa siku 3. Paka uteute wa alovera uliochanyanyika na shurbati ya manjano mbichi.
1. Mwagia majivu asubuhi na jioni baada ya kuoga 2. Kunywa maji ya kutosha si chini ya lita 2 kwa siku 3. Paka uteute wa alovera uliochanyanyika na shurbati ya manjano mbichi.
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,428 Reaction score 27,138 Dec 15, 2020 #3 Acha ramli kwenye viungo vya uzazi. Kwani unapokaa hakuna hata kadispensary?
N NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,206 Reaction score 27,988 Dec 15, 2020 #4 [emoji16] kapime mkuu.
IZENGOB JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 323 Reaction score 317 Dec 15, 2020 Thread starter #5 Philipo D. Ruzige said: Acha ramli kwenye viungo vya uzazi. Kwani unapokaa hakuna hata kadispensary? Click to expand... Poa nitaenda
Philipo D. Ruzige said: Acha ramli kwenye viungo vya uzazi. Kwani unapokaa hakuna hata kadispensary? Click to expand... Poa nitaenda
Ngwega JF-Expert Member Joined Aug 6, 2019 Posts 589 Reaction score 632 Dec 15, 2020 #6 Tumia condom siku nyingine
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,907 Reaction score 24,968 Dec 15, 2020 #7 UTI hio
Isotonic JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 2,626 Reaction score 4,040 Dec 15, 2020 #9 STI 's hiyo ukipata antibiotic utakaa sawa.
venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,778 Reaction score 4,080 Dec 15, 2020 #10 wala sio gono unaweza ukawa ugonjwa gani? He heh...ulijuaje km siyo gono??
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,930 Reaction score 134,028 Dec 16, 2020 #11 Kuna mambo mengine ht hayahitaji kuanzishwa mada, hasa hasa mambo ya afya yako. Mm ntaenda hospitali kwanza ndipo ntakuja hapa kupata masalia kama yataweza kunisaidia
Kuna mambo mengine ht hayahitaji kuanzishwa mada, hasa hasa mambo ya afya yako. Mm ntaenda hospitali kwanza ndipo ntakuja hapa kupata masalia kama yataweza kunisaidia
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,930 Reaction score 134,028 Dec 16, 2020 #12 venossah said: wala sio gono unaweza ukawa ugonjwa gani? He heh...ulijuaje km siyo gono?? Click to expand... Yn anakataa ugonjwa lkn anauliza ni ugonjwa gani.! Bc tumwambie ni ukurutu
venossah said: wala sio gono unaweza ukawa ugonjwa gani? He heh...ulijuaje km siyo gono?? Click to expand... Yn anakataa ugonjwa lkn anauliza ni ugonjwa gani.! Bc tumwambie ni ukurutu