Ninauza Suzuki Escudo kwa bei tajwa;
gari ina automatic gear
yom 1998
odm 150k
4 cylinders
1590 engine cc
Haina historia ya ajali
Haijawahi kufunguliwa wala kuchezewa engine
na ina power window
Gari iko Kigamboni Dar
Ona picha na ukivutiwa nitafute kwa 0656497469