Colman19891
Member
- Jul 9, 2017
- 29
- 8
Yes naweza.Upo dar sehemu gani?Nikihitaji 20 kwa ajiri ya mboga uyalete yakiwa yamechinjwa na kuandaliwa vema utaniletea?Nipo Dar!
inawezekana ...unakaa dar sehem ganiNikihitaji 20 kwa ajiri ya mboga uyalete yakiwa yamechinjwa na kuandaliwa vema utaniletea?Nipo Dar!
0716666954 nchekiinawezekana ...unakaa dar sehem gani
Mikocheni mkuu.Ila kwasasa nipo nje ya Dar,so nikifika mjini mwezi ujao ntakwambia.Au utakua umemaliza stock?inawezekana ...unakaa dar sehem gani
Asante sana mkuuMkuu Safi sana....me PIA ntakuwa mteja wako
Usijali kiongozi.Wapo wa kutosha kila mwezi wanapatikanaMikocheni mkuu.Ila kwasasa nipo nje ya Dar,so nikifika mjini mwezi ujao ntakwambia.Au utakua umemaliza stock?
Inaitwaje
Haiwezi kuwa studio ya picha za jogooo
14,000bei ya jumla jumla ngapi?