PillowTalk
Member
- Sep 24, 2010
- 95
- 5
Mbona bei rahisi hivyo?? au magumashi, wabongo tumezoea kupigwa parefu ujue....!!Habari wanajamvi,
Kwa wale wajasiriamali ninauza line ya uwakala wa M-PESA haraka kwa bei rahisi kabisa ya Tshs 140,000/= tu.
Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu namba 0689 868640
Karibuni.
Serikali washaharibu hii biashara ya mobile banking kw kupandisha kodi pasipo
kufanya intensive research,watu wapunguza sana kutuma pesa kwa kutumia simu
kwa kuhofiwa kukatwa hela nyingi...Kwakweli ccm wanatupandishia maisha kila sekta
Hv hii biashara faida yake ikoje? Then nikishanunua hyo line waa gwaan?
nahitaji tigo pesa
tiGO pesa 650,000/=
Airtel Money 400,000/=
MPESA 600,000/=
Unatatoa bei gani kwa tgo pesa???bear in mind ni hot cake???
Nashukuru kwa wajasiriamali wote walio wasiliana nami.Hii ni kuwataarifu kwamba nimekwisha uza huo uwakala.Asanteni sana.Habari wanajamvi,
Kwa wale wajasiriamali ninauza line ya uwakala wa M-PESA haraka kwa bei rahisi kabisa ya Tshs 140,000/= tu.
Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu namba 0689 868640
Karibuni.
laki 2 mkuu
Mhhh laki 2 tgo pesa ka una tano tufanye biashara
Mkuu uko tigo au ni yako umeacha kuitumia maana nasikia kuna za deal baadaye inakugeuka. Una swap line biashara ikishakolea