B billz949 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 311 Reaction score 73 Dec 1, 2015 #1 ninauza gari hii ikiwa katika hali nzuri na haina tatizo lolote Ni manual Model ya mwaka 92 H1Z engine 4w drive engine still intact(haijawahi kufunguliwa kama utahitaji kuiona nijulishe kwa 0656497469 Attachments CAM00749.jpg 512.7 KB · Views: 294 CAM00748.jpg 496.3 KB · Views: 244
ninauza gari hii ikiwa katika hali nzuri na haina tatizo lolote Ni manual Model ya mwaka 92 H1Z engine 4w drive engine still intact(haijawahi kufunguliwa kama utahitaji kuiona nijulishe kwa 0656497469
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,027 Reaction score 16,149 Dec 1, 2015 #2 sawa kiongozi...ila hilo kontena hapo nyuma siyo kati ya yale yaliyopotea...just kidding
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Dec 1, 2015 #3 Hivi hakunaga utaalamu wa kubadili gari ya manual kuwa automatic ??????