Ninauza kiwanja Mbwen ndege beach

kitali

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
6,306
Reaction score
9,627
kina ukubwa wa sg mita 1300. ni cha tano kutoka baharin bei ni milion 150. mwenye kuhitaji anipigie 0717540699 hakina dalali
 
Nakushauri mwanangu usiuze ardhi ni mali,
 
Bei yako iko juu kidogo mkuu. Maana 2010sq 120m. Kama unaweza shuka tuwasiliane.mkuu nahitaji
 
Bei yako iko juu kidogo mkuu. Maana 2010sq 120m. Kama unaweza shuka tuwasiliane.mkuu nahitaji

kiongozi nipigie kwenye hyo no niliyoiweka hapo.
 
Nakushauri mwanangu usiuze ardhi ni mali,

ni kweli ardhi c ya kuuza ndugu ila pale ninavyo vinne na nauza kwa sababu maalum ya kwenda mbele mkuu.
 
ninacho tegeta kina hati mil 70 nicheki 0714787795
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…