Ninauza kiwanja changu bagamoyo

Ninauza kiwanja changu bagamoyo

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
habari zenu wanajamvi. ninauza kiwanja changu, kina ukubwa wa hatua 20x20 kwa bei ya Tsh 15,000,000/- maongezi yapo. kipo kerege bagamoyo mita 100 toka barabara kuu ya dar bagamoyo,umeme upo karibu,huhitaji hata nguzo,maji ya dawasa yanapatikana karibu kabisa na hapo. panafaa kwa kujenga frem za biashara au nyumba ya kuishi. kwa mawasiliano tumia namba hii 0717 166 455
 
Fanya utafiti kwanza kujua bei za ardhi zimefikia kiasi gani maeneo hayo, ndio uweze kutambua bei yako. Mbele kidogo ya Kerege panaitwa kitopeni eka moja inaiuzwa milioni 5, kerege 20 kwa 20 milioni 15 ni kubwa sana.
 
Kitopeni sio mbele kidogo mkuu, ni zaidi ya kilomita 20, bei za kerege na kitopeni tofauti kabisa, heka kerege ni zaidi ya m 60 na ni kilomita kadhaa kutoka barabarani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom