BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 237
- 351
Ninauza eneo/kiwanja changu chenye ukubwa wa heka tatu (3 acres). Eneo hili linafaa sana kwa ajili ya ujenzi wa makazi, shule, au miradi mingine mbalimbali.
Eneo lipo mkoa wa Mwanza wilaya ya kwimba kata ya Hungumalwa, kitongoji cha Mwajikuga, karibu sana na stand, takriban kilometa 1 kutoka barabara kuu kuu.
Umbali kutoka eneo hili hadi Jijini Mwanza ni kilometa 87, na hadi mjini Shinyanga ni kilometa 80, hivyo ni eneo linalofaa kwa watu wanaotaka kuwa na makazi au biashara katika maeneo ya karibu na miji mikuu.
Eneo lina huduma zote muhimu kama maji na umeme, hivyo linatoa mazingira mazuri kwa maendeleo yako.
Bei ya kiwanja chote ni shilingi milioni ishirini (Tsh 20,000,000).
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu au tuma ujumbe kwenye nambari hii: +255614287063.