Wanaosoma shule za uma hawapati msingi? Nenda udsm leo kafanye reserch fupi kwa undergraduate wangapi wamesoma shule za msingi za kayumba na wangapi wamesoma private schools primary. Kisha uone wapi wengi? Then watazame wanaaongoza kwa gpa kila kozi kisha ufatilie msingi wamesoma shuls za aina gani?
Mpeleke hapo SIYA English Medium..cjui kama bado haka ka shule...mwanangu alisomaga hapo akapata msingi mzuri sana..ni jirani na Kanisa katoliki Sinza(Sinza Lion)