Salaam
Ninatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya kujenga maeneo ya mbezi kimara, mbezi beach, boko, bunju. Size kwanzia 20x30 kwenda juu...
Kama upo weka bei mezani tuongee
Hello,kipo mbez temboni heka moja bei 25 milion,,kingine bunju b ni 30 kwa 30 mita/miguu milion 8 vyote havijapimwa huduma zipo za jamii,4 km from main road if r interested check me on 0712882855.