Ninatafuta Kazi Udereva

william nsolezi

New Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo na pia ni fundi wa welding naomba msaada
 
nani kakwambia kuwa udereva ni kazi, Kwa hiyo sisi tunao tumia magari yetu kwenda kazini pia tunafanya kazi ya udereva?

Techman embu kuwa mstarabu basi,kwani lazima u~comment kama huna la maana la kusema?!.au ndo kujitoa uelewa,wangapi wanakula,wanavaa na kulala kupitia kazi hyo hyo ya udereva?eh!!, au nia yako ulitaka tujue kuwa unaendesha gari ukienda kazini,haya malizia basi ututajie na aina ya gari lako maana...na wasiwasi hujitambui.
 
Kwa kweli nina maanisha kabisa ni kazi itakayonifanya niishi na famila yangu nategemea kuajiliwa nanyi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…