Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 206
Wanajamvi nina budget ya shilingi mil 8 natafuta gari lilokatika hali nzuri, liwe na 4WD imara. Kwanza nilifikiria rav 4 au SUZUKI ESCUDO.
Naombeni ushauri
mkuu kuna rav 4.milango 5 ipo dar namba B kama itakufaa 0717228064
mkuu kuna rav 4.milango 5 ipo dar namba B kama itakufaa 0717228064
mkuu toyota cami sina uzoefu nayo kwa nini unafikiri ni wazo zuri kuagiza hiyo?Mkuu agiza toyota cami
mkuu toyota cami sina uzoefu nayo kwa nini unafikiri ni wazo zuri kuagiza hiyo?
Mimi nina Nissan patrol milango5 mil 7