Kisizidi 120K. ningependelea kiwe self contained na kisiwe mbali sana na city centre.
msaada wa haraka tafadhali.
#nimemPostia mtu.
kuna chumba self container kipo hapo kisota kigamboni kina sifa zote ulizotaja bei mwenyewe anapangisha 270,000 anachukua mpaka kodi ya miezi 3, kisota ipo 7km toka feri , tuwasiliane nikupeleke mi ni dalalai 0657145555Kisizidi 120K. ningependelea kiwe self contained na kisiwe mbali sana na city centre.
msaada wa haraka tafadhali.
#nimemPostia mtu.
kuna chumba self container kipo hapo kisota kigamboni kina sifa zote ulizotaja bei mwenyewe anapangisha 270,000 anachukua mpaka kodi ya miezi 3, kisota ipo 7km toka feri , tuwasiliane nikupeleke mi ni dalalai 0657145555
hii ni servant Qua tor ina chumba sebule , choo , jiko nk , sasa sijaelewa unashangaa kitu gani?kisota laki270 cumba kimoja?!
hii ni servant Qua tor ina chumba sebule , choo , jiko nk , sasa sijaelewa unashangaa kitu gani?
kuna chumba self container kipo hapo kisota kigamboni kina sifa zote ulizotaja bei mwenyewe anapangisha 270,000 anachukua mpaka kodi ya miezi 3, kisota ipo 7km toka feri , tuwasiliane nikupeleke mi ni dalalai 0657145555
Nimekutumia pm angaliaasante lakini mwisho wake ni 120,000