Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

Sal pa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
217
Reaction score
323
Habari wa JF. Ndugu yenu hapa ni wiki sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga . Mwanzo nilianzia kuumwa na kiuno na nyonga ila kwa sasa kiuno kipo vizuri kilichobaki ni nyonga kuuma. Maumivu yapo ndani na nje kwenye misuli ya kuja kuunga na kiuno ina kuwa kama inakaza, kuna dawa ya asili ambayo nimetumia ndo nikapata afadhali ya kiuno ila kwenye nyonga kama hainisaidii .

Msaada ninaohitaji ni kwa mwenye kufaham nikienda mhimbili nikawaone wataalam wa kitengo kipi ndo wanaweza kunitibu hili tatizo.
 
Possible problems
Either ni Tatizo la kibofu cha mkojo au mfumo wa uzazi au vyote .Je wewe ni ke or me?
 
Ok! Je unadalili nyingine mf. Kusikia maumivu wakati wakukojoa au kuvuta kwa korodani au zinazo fanana na hizo dalili.
 
Hili tatizo lilianza taratibu wiki mbili sasa zimekamilika .wiki ya kwanza ilisha nikiwa na endelea na kazi niliyokuwa naifanya wiki iliyofuata ambayo ndo tumimalizia jana maumivu yakaongezeka hadi nikashindwa kuendelea na kazi maana maumivu yalienea hadi kiuno kikawa kinaniuma na ikiwa kazi yenyewe ni yakutumia nguvu , nikaenda kupima U.T.I nikakutwa ninayo nikachukua dawa nimetumia kiuno kikarudi katika hali yake ila maumivu ya nyonga ndyo yaliyo bakia.
 
Ok! Je unadalili nyingine mf. Kusikia maumivu wakati wakukojoa au kuvuta kwa korodani au zinazo fanana na hizo dalili.
maumivu wakati wa kukojoa au kuvuta kwa korodani hapan labda kwa mbali nani mara chache sana sehem ya haja kubwa muda mwingne ndo nahic kuvuta kidogo.
 
Nashukuru kwa kusubiri nilitoka nje ya mji kidogo, basi kuna uwezekano hujapona vizuri UTI vizuri, nitaku-PM ili nikupe suggestions na options ili upate kuondokana na hili tatizo.
 
Nitashukuru sana mkuu.
 
Nashukuru kwa kusubiri nilitoka nje ya mji kidogo, basi kuna uwezekano hujapona vizuri UTI vizuri, nitaku-PM ili nikupe suggestions na options ili upate kuondokana na hili tatizo.
Mkuu kwa faida ya sisi wengne naomba useme iyo suggestions ili na sis uwe umetusaidia please
 
Sijui nini kimetokea....mbona watu wengi sana juu ya hili tatizo...
Pata rufaa nenda Muhimbili MOI....pia kuna waKorea maeneo ya Mbezi...wanasifika...
 
Mbezi sehem gani boss
 
Mkuu kwa faida ya sisi wengne naomba useme iyo suggestions ili na sis uwe umetusaidia please
Kwa mwenye changamoto anijuze ni mshauri kila mtu na maelezo yake kutokana na stage aliyopo kua free call 0712553826 it will be my pleasure to hear from you. Anytime 24hrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…