Ninapo taka mimi ni hapo tuuuuuuu

Bujibuji huyo dogo haangalii hapo bana!Anlikuw natafuta tu pozi la picha.....
 
Mbona kamefanana na katoto ka mkuu Mtambuzi kalikopotea juzi kati?
 
Haangalii mpododo bana, sema kwa kuwa ni 2D ndo mana inatuchanganya!! Tazama distance iliyopo kati ya huyo mama na huyo mtoto kwenye sakafu, ndio utagundua kuwa hawezi kuwa anamtazama huyo mama!!
 
Haangalii mpododo bana, sema kwa kuwa ni 2D ndo mana inatuchanganya!! Tazama distance iliyopo kati ya huyo mama na huyo mtoto kwenye sakafu, ndio utagundua kuwa hawezi kuwa anamtazama huyo mama!!
Mkuu hata mimi nimeona, huyo mama yupo nyuma ya mgongo wa huyo dogo na wakati huyo dogo anatazama upande wake wa kushoto nafikiri atakuwa ameliona School Bus lao linakuja sasa ameanza kufurahi.
 
ha ha ha, dogo alikuwa anaona aibu akaficha uso hakuwa anaangalia makalio.
 
sosoliso ona Bujibuji ana makengeza!
dogo yupo busy anasubiri anunuliwe maaza juice au vijoti akapande skul bas!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…