johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,367
- 146,981
Na makucha yake 🐼Kumekucha kumekuchwa
Acha inyeshe.....Majibu ya Tundu Antipas Lisu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu Cha Katiba ya Zanzibar kinachosema " Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lisu amepigia mstari Neno " inatokana " na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?!
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu Cha Katiba ya Zanzibar kinachosema " Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno " inatokana " na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?!
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Kwa nini wajibu ACT ..... CCM wako wapi kufafanua hili. Nape anabwabwaja bila point. Makalla na Nchimbi hawana majibu ....!!
ACT na akina Jussa wamekuwa ni walalamikaji wakubwa wa Muungano. Othman alifukuzwa kazi kwa sababu ya Muungano. Actually, Lissu amewasaidia kuiwakilisha point yao kwa Wananchi wa Tanganyika ......!!
Bwashee Heshima ni kitu Cha bure..kama matatizo na kero ktk muungano wetu zimeshindwa kutatuliwa kwa muda mrefu sababu itakuwa ni uzembe wa Samia Suluhu Hassan.
..kwa muda mrefu alihudumu ktk ofisi ya Makamu wa Rais kama Waziri mwenye dhamana ya masuala ya muungano.
..baada ya hapo Samia Saluhu amekuwa Makamu na sasa ni Raisi. Haiwezekani ktk nafasi zote hizo ashindwe kutupatia uteuzi wa changamoto za muungano.
..Nadiriki kusema Samia ni MZEMBE.
Bwashee Heshima ni kitu Cha bure
UKAWA Ndio walitukosesha katiba mpya 🐼..mkishindwa hoja mnadai mmetukanwa.🤣
..kwa muda mrefu Samia alikuwa Waziri wa masuala ya muungano, kwanini leo ndugu zake Waznz wanalalamika kuonewa ktk muungano?
Hatari sana!Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu Cha Katiba ya Zanzibar kinachosema " Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno " inatokana " na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?!
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
UKAWA Ndio walitukosesha katiba mpya 🐼
Huo muungano ni wa viongozi wa ccm. Hauna chochote cha maana kwa wananchi wa kawaidaTuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!