K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,943 Mar 7, 2014 #1 inanikumbusha enzi za shule ya msingi, unakunywa maji kwa kuweka mdomo kwenye bomba
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Mar 7, 2014 #2 Konaball said: View attachment 143248 inanikumbusha enzi za shule ya msingi, unakunywa maji kwa kuweka mdomo kwenye bomba Click to expand... Inanikumbusha mathayo ngapi sijui...Waangalieni ndege wa Mwituni hawapandi wala hawavuni lakini baba yenu wa Mbinguni huwalisha, je, haitakuwa zaidi kwenu?
Konaball said: View attachment 143248 inanikumbusha enzi za shule ya msingi, unakunywa maji kwa kuweka mdomo kwenye bomba Click to expand... Inanikumbusha mathayo ngapi sijui...Waangalieni ndege wa Mwituni hawapandi wala hawavuni lakini baba yenu wa Mbinguni huwalisha, je, haitakuwa zaidi kwenu?
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Mar 7, 2014 #3 ukimkurupusha hapo anaweza kuzimia
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Mar 7, 2014 #4 Picha nzuri