Ninahitaji gari

Lyambasa

Senior Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
153
Reaction score
43
Ninahitaji kununua gari dogi la kutembelea,nina milioni nne,mwenye taarifa aniPM.
 
Million nne utapata scraper ndugu. Trust me hadi mwisho wa mwaka utakuta hilo gari limetumia million nne nyingine kwa matengenezo. Ushauri wangu, ongeza hela upate gari zuri zaidi, ingawa kuna magari hadi ya sh laki mbili.
 
Halafu mnasema Foleni Dar itaisha,watu full Magari.
Mkuu kuna watu watakuja hapa akiwemo OSABA na DIP PUB hao ndio dili zao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…