Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

unapotumia dawa hakikisha hukutani na mkeo au tumia mpira

kwa sabab mnakaa wiki bila sex mkiona mmepata nafuu mnacheza mechi mnabadilishana Tena wadudu

nikwambie tu maambukizi mapya ya ugonjwa wowote ni mabaya yanakuja na mashamburizi makubwa kuliko awali

zingatia usafi wa pants wewe na mkeo change boxers as many as you can

one question Nani ameleta hivyo vidudu ndani wewe au yeye?

maana magonjwa ya zinaa mengi yapo active Zaid kwa wanaume ukicheza rafu Leo ni kesho au kesho kutwa matokeo yanabandikwa ubao wa matangazo mzee anaanza kutema mate

mwanamke anakaa mpaka mwezi anasikia tu maumivi chini ya kitovu kama dariri za awali

chunguza nyendo zako na za mkeo kwa sabab apo mtakua mnatwanga maji kwenye kinu mnapata nafuu harafu mmoja anareta Tena wadudu ndani
 
Doh yaan antibiotic zote hizo umekunywa, jiangalie sana utapata madhara
 
Hapo utateseka tumia dawa za kienyeji shehe, kacheki shida ni nini? Utamaliza hela vingine ni hatari shehe kama unatabia za kutoka na wake za watu hapo huwezi ona ugonjwa kwenye vipimo vya kawaida
 
Kweli kaka, huenda kuna kamchezo mahali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…