Ninafundisha Physics & Mathematics

Joined
Jul 14, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Habarini wakuu!

Ninatafuta nafasi ya kufundisha Physics na Hesabu kwa O-level na A-level, iwe shule au tuition centre. Contacts zangu ni 0687917022 na 0752114739.

Ninatanguliza shukrani.
 
Nitakutafuta mwezi December kwa ajili ya kijana wangu wa O-level ambaye yuko boarding school kwa sasa.
 
Mimi ninge kuwa wewe nisinge aka hata kutafuta sehemu ya kwenda kufundishia.. anza wewe mwenyewe hapo ulipo jitangaze tuu watu wata kutafuta mzee kwani Mchikichini walianza vipi... jiamini unaweza na utaweza
 
Ahsante mkuu kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi.
 
Niko Pwani,Kibaha Mile moja mkuu.

mkuu huko ndio kuna mwamko wa wanafunzi kusoma tuition, hebu anza nao hao na wa maeneo jirani...halafu kama kweli una qualification za ualimu hauwezi kukosa nafasi hasa private schools,hana pwani zipo nyingi sana tena kwa physics lazima upate.
 
Sawa mkuu,ahsante!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…