Ukifanya hivyo utaharibu alafu utakosa pote pote. Kama keshakupotezea, mwache aende zake ni kila ulichompa. Anza kuwekeza upya kwa mdogo mtu...akili yangu inawaza nmnyanganye nguo zote nlizomnunulia nmpe mdogo ake ad malapa kudadek
ulijikutaje ukadate zombie???Usijali nitakuletea malapa yako, nguo zile sizivai maana hazinifai tena
Ujana mkuu si unajua tenaulijikutaje ukadate zombie???
Hicho ulimfanyia chenyewe kinatoshaUjana mkuu si unajua tena
wewe ni mwehu na uyo mdogo wako akikubari kuchukua izo nguo nae pia atakuwa mwehu.kuna dem bana tulikua na mahusiano kama miez 5 ivi.asa sijui alipataga mhun wa kumpa hizi chips chips nlishangaa ghafla ananiblock sehem zote tulizokuwa tukiwasiliana,nkaona isiwe kes nkaomba cm ya mshikaj wangu nkampigia aliposkia saut yangu akakata cm.kumbe bna ana mdogo ake na ananikubal ile mbaya nmeamua kudate nae
akili yangu inawaza nmnyanganye nguo zote nlizomnunulia nmpe mdogo ake ad malapa kudadek
ZOMBIE BOY