Nina tatizo la sikio

Nina tatizo la sikio

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,513
Reaction score
9,553
Habari,

Naomba msaada

Nimetoa uchafu kwenye sikio siku nne zilizopita.

Nahisi nimetoa uchafu kupita kiasi sasa sikio langu hadi leo halisikii vizuri linanipa shida sana.
 
Huo uliotoa sio uchafu ni natural secretion tatizo ndio lilianzia hapo. Ni kama kusema mate yaliyo kinywani ni uchafu. Huenda ulikuwa na nta nyingi sasa katika jitihada za kutoa nyengine umesukumia kwa ndani( impaction) na kusababisha tatizo. Tumia vilainishi kama glycerine ear drops, ikishindikana kamuone ENT specialist.
 
Umemshauri Vyema
 
asante sana
 
Back
Top Bottom