Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
hapana mkuuuUjagonga mke wa mtu? Tuanzie hapo .
zaidi.
hukutumia dawa yoyote kaka maana nimepewa dawa ila naona bado zonatoka tokakama unashinda juani halafu hunywi maji ni tatizo. je, maji unakunywa ya bombani au ya kawaida. kuna sehemu nilikuwa nikiendaga maji ya eneo lile yalinileteaga hiyo shida kama yako, nikaacha kuyanywa.
au kunywa maji mengi sana yaani kama mwehu. wakati ukitafuta ufumbuzi zaidi.
Hapana mkuu... nilikula sana matikiti. na maji kwa sana. ila maji yalionisababishia niliyaacha nikawa nanunua dukaniHukutumia dawa yoyote kaka maana nimepewa dawa ila naona bado zonatoka toka
Sasa sijui nafanyaje na nimepima vipimo vingi mnoo
ilitoka kama siku ngapi na ilikuwa nyingi mfululizo au matone au wakati wa kuanza kukojoa au wakati wa kumaliza kukojoa?hapana mkuu... nilikula sana matikiti. na maji kwa sana. ila maji yalionisababishia niliyaacha nikawa nanunua dukani
matone mkuu. nikienda kukojoa mkojo unatoka kidogo sana kinachofuata hapo ni damu. lakini unakuwa naendelea kusikia ukiniuma sana na ilinichukua siku mbili tu hali ikaanza kuwa poa.ilitoka kama siku ngapi na ilikuwa nyingi mfululizo au matone au wakati wa kuanza kukojoa au wakati wa kumaliza kukojoa?
poa ngoja nikomae na majiiimatone mkuu. nikienda kukojoa mkojo unatoka kidogo sana kinachofuata hapo ni damu. lakini unakuwa naendelea kusikia ukiniuma sana na ilinichukua siku mbili tu hali ikaanza kuwa poa.
Vipimo umefanya sehemu ya uhakika? Baadhi ya maabara zetu za Bongo i.e. vipimo na wataalam, Mungu ndiye anajua! Usichoke kumwona tena dr.Wakuu zaa saa hizi nimepimwa figo,kibofu ini ila vyote havina shida kwa mujibu wa ct scan
wakapima
mkojo pia hauna shida ila sasa ninakojoa damu siku ya tatu.
naombeni msaaada kama kuna mtu ashapata hii shida
Unakichocho mkuuWakuu zaa saa hizi nimepimwa figo,kibofu ini ila vyote havina shida kwa mujibu wa ct scan
wakapima
mkojo pia hauna shida ila sasa ninakojoa damu siku ya tatu.
naombeni msaaada kama kuna mtu ashapata hii shida
thanks kakaVipimo umefanya sehemu ya uhakika? Baadhi ya maabara zetu za Bongo i.e. vipimo na wataalam, Mungu ndiye anajua! Usichoke kumwona tena dr.
kuna dawa nimepewa na kichocho pia.Unakichocho mkuu
Siku tatukuna dawa nimepewa na kichocho pia.
huwa inachukua muda gani damu kuisha kaka?
nimeanza tumia alhamisi jioni na ijumaa asubuhi ila ilikuwa single doziSiku tatu
Mkuu ulipona? Na kama ulipona ulifanyaje? Kuna mtu anaiyo shida anahitaji msaadakama ni michubuko dawa yake ni nin?
Hiyo ni dalili mojawapo ya tezi dume( prostate enlargement)Mkuu ulipona? Na kama ulipona ulifanyaje? Kuna mtu anaiyo shida anahitaji msaada