qarem JF-Expert Member Joined Oct 19, 2018 Posts 627 Reaction score 832 Mar 28, 2020 #1 Salam ya kicovid19 kwenu,I think mko poa sana wana jf,....... Bila kung'ata meno, kutingisha sharubu,kupepesa macho plz msaaada... Mwenye app au jina LA app ambayo unaweza ukatambua au kuzuia MTU anaekufuatilia kimtandao kwa kumbloc kabisa yan naiomba wanajamvi!!!! Natanguliza shukran kwenu [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
Salam ya kicovid19 kwenu,I think mko poa sana wana jf,....... Bila kung'ata meno, kutingisha sharubu,kupepesa macho plz msaaada... Mwenye app au jina LA app ambayo unaweza ukatambua au kuzuia MTU anaekufuatilia kimtandao kwa kumbloc kabisa yan naiomba wanajamvi!!!! Natanguliza shukran kwenu [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
Super Villain JF-Expert Member Joined Jan 2, 2019 Posts 9,395 Reaction score 21,060 Mar 28, 2020 #2 Cyber ghost mimi ndio naijua ndio iko vizuri kwa watu wanaopenda kukufuata fuata kama unauwezo tumia hiyo kitu.
Cyber ghost mimi ndio naijua ndio iko vizuri kwa watu wanaopenda kukufuata fuata kama unauwezo tumia hiyo kitu.
qarem JF-Expert Member Joined Oct 19, 2018 Posts 627 Reaction score 832 Mar 28, 2020 Thread starter #3 Super Villain said: Cyber ghost mm ndio naijua ndio iko vzr kwa watu wanaopenda kukufuata fuata kama unauwezo tumia hiyo kitu. Click to expand... Shukran za kutosha kwako mdau Sent using Jamii Forums mobile app
Super Villain said: Cyber ghost mm ndio naijua ndio iko vzr kwa watu wanaopenda kukufuata fuata kama unauwezo tumia hiyo kitu. Click to expand... Shukran za kutosha kwako mdau Sent using Jamii Forums mobile app