brainy boi
Member
- Jun 16, 2017
- 17
- 2
Daaaaa tatzo naendaje.ntapata nafasi kweli paleMzumbe nadhani itakufaa sana
Hakuna special school inayotoa HGE sasa sijui ulinganifu wako ulifanya na akina nanidogo kasome, Mimi nilichaguliwa runzewwle sec HGE nikapadis saana, lakini pepa nikatandaza B flat na wana walioenda hizo specio zenu wengi tu hawakunifikia.
special labda kama ni ufundi kama dit, mist au maji dar, lkn vinginevyo ikubali shule na upige kitabu
Mara ya mwisho 2012 walikua wanachukua point 4 kwa PCM na point 5 kwa PCB. Sijjua kwa miaka hiiJamani nina point tano za masomo katika kombi yang ya PCM yan A ya mathe zingine B nilikua nauliza kama kuna uwezekano wakuamia special xul maana nimechaguliwa shule ambayo binafsi sijaipenda na ufaulu wake aujanfrahisha.kama kuna uwezekano nafanyaje .naomben mnisaidie
Hge haina special kakaDaaaaa tatzo naendaje.ntapata nafasi kweli pale
dogo kasome, Mimi nilichaguliwa runzewwle sec HGE nikapadis saana, lakini pepa nikatandaza B flat na wana walioenda hizo specio zenu wengi tu hawakunifikia.
special labda kama ni ufundi kama dit, mist au maji dar, lkn vinginevyo ikubali shule na upige kitabu
Hayo matokeo yametoka lini?Jamani nina point tano za masomo katika kombi yang ya PCM yan A ya mathe zingine B nilikua nauliza kama kuna uwezekano wakuamia special xul maana nimechaguliwa shule ambayo binafsi sijaipenda na ufaulu wake aujanfrahisha.kama kuna uwezekano nafanyaje .naomben mnisaidie
Haya ya form 4Hayo matokeo yametoka lini?
Sawa ila siunajua influence muhim piaKasome tu shule uliyochaguliwa maana a level navyo jua ni msuli wako hakuna special school ingawa kule mnakutana mabingwa,
Ya kakaHaya ya form 4
influence ya nini wee chalii...??? tuliza mshono PCM haitaki mbwembwe nenda kakomae hko hko .....kutoka kokote palee juhudii zako tuuu....nenda kachakaze chand hizoo wachaa mbwembwe...!!Sawa ila siunajua influence muhim pia
Ila Boi naskia jina LA shule ni muhim katika ushaishaji kaka ndo nimefocus apo watakavyosahisha mzumbe sio kama nanga kakainfluence ya nini wee chalii...??? tuliza mshono PCM haitaki mbwembwe nenda kakomae hko hko .....kutoka kokote palee juhudii zako tuuu....nenda kachakaze chand hizoo wachaa mbwembwe...!!
Sio kweli, usahihishaji wa mitihani ya kitaifa hauangalii jina la shule, ndo mana hata Mzumbe na kibaha wapo wanaopata zeroIla Boi naskia jina LA shule ni muhim katika ushaishaji kaka ndo nimefocus apo watakavyosahisha mzumbe sio kama nanga kaka
Kwani umechaguliwa shule gani? Ipo wapi?Jamani nina point tano za masomo katika kombi yang ya PCM yan A ya mathe zingine B nilikua nauliza kama kuna uwezekano wakuamia special xul maana nimechaguliwa shule ambayo binafsi sijaipenda na ufaulu wake aujanfrahisha.kama kuna uwezekano nafanyaje .naomben mnisaidie
Huu ndo upuuzi mnaojidanganya nao mkimaliza form fourIla Boi naskia jina LA shule ni muhim katika ushaishaji kaka ndo nimefocus apo watakavyosahisha mzumbe sio kama nanga kaka
Mkuu samahani naomba kutoka nje ya mada kidogo,influence ya nini wee chalii...??? tuliza mshono PCM haitaki mbwembwe nenda kakomae hko hko .....kutoka kokote palee juhudii zako tuuu....nenda kachakaze chand hizoo wachaa mbwembwe...!!