Nina point tano kwenye PCM, Je ninaweza kuhamia special school yoyote hapa Tanzania

brainy boi

Member
Jun 16, 2017
17
45
Jamani nina point tano za masomo katika kombi yang ya PCM yan A ya mathe zingine B nilikua nauliza kama kuna uwezekano wakuamia special xul maana nimechaguliwa shule ambayo binafsi sijaipenda na ufaulu wake aujanfrahisha.kama kuna uwezekano nafanyaje .naomben mnisaidie
 
ashy da don

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
604
1,000
dogo kasome, Mimi nilichaguliwa runzewwle sec HGE nikapadis saana, lakini pepa nikatandaza B flat na wana walioenda hizo specio zenu wengi tu hawakunifikia.

special labda kama ni ufundi kama dit, mist au maji dar, lkn vinginevyo ikubali shule na upige kitabu
Hakuna special school inayotoa HGE sasa sijui ulinganifu wako ulifanya na akina nani
 
ashy da don

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
604
1,000
Jamani nina point tano za masomo katika kombi yang ya PCM yan A ya mathe zingine B nilikua nauliza kama kuna uwezekano wakuamia special xul maana nimechaguliwa shule ambayo binafsi sijaipenda na ufaulu wake aujanfrahisha.kama kuna uwezekano nafanyaje .naomben mnisaidie
Mara ya mwisho 2012 walikua wanachukua point 4 kwa PCM na point 5 kwa PCB. Sijjua kwa miaka hii
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
895
1,000
Kasome tu shule uliyochaguliwa maana a level navyo jua ni msuli wako hakuna special school ingawa kule mnakutana mabingwa,
 
DhulRah

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
252
250
Jamani nina point tano za masomo katika kombi yang ya PCM yan A ya mathe zingine B nilikua nauliza kama kuna uwezekano wakuamia special xul maana nimechaguliwa shule ambayo binafsi sijaipenda na ufaulu wake aujanfrahisha.kama kuna uwezekano nafanyaje .naomben mnisaidie
Hayo matokeo yametoka lini?
 
jombi95

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,375
2,000
Sawa ila siunajua influence muhim pia
influence ya nini wee chalii...??? tuliza mshono PCM haitaki mbwembwe nenda kakomae hko hko .....kutoka kokote palee juhudii zako tuuu....nenda kachakaze chand hizoo wachaa mbwembwe...!!
 
brainy boi

Member
Jun 16, 2017
17
45
influence ya nini wee chalii...??? tuliza mshono PCM haitaki mbwembwe nenda kakomae hko hko .....kutoka kokote palee juhudii zako tuuu....nenda kachakaze chand hizoo wachaa mbwembwe...!!
Ila Boi naskia jina LA shule ni muhim katika ushaishaji kaka ndo nimefocus apo watakavyosahisha mzumbe sio kama nanga kaka
 
MZEE RAZA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,711

Sio kweli, usahihishaji wa mitihani ya kitaifa hauangalii jina la shule, ndo mana hata Mzumbe na kibaha wapo wanaopata zero
 
MZEE RAZA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,711
2,000
Jamani nina point tano za masomo katika kombi yang ya PCM yan A ya mathe zingine B nilikua nauliza kama kuna uwezekano wakuamia special xul maana nimechaguliwa shule ambayo binafsi sijaipenda na ufaulu wake aujanfrahisha.kama kuna uwezekano nafanyaje .naomben mnisaidie
Kwani umechaguliwa shule gani? Ipo wapi?
 
mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,533
2,000
influence ya nini wee chalii...??? tuliza mshono PCM haitaki mbwembwe nenda kakomae hko hko .....kutoka kokote palee juhudii zako tuuu....nenda kachakaze chand hizoo wachaa mbwembwe...!!
Mkuu samahani naomba kutoka nje ya mada kidogo,

Kama hautojali naomba unitajie vitabu vya form five kwa hii combination maana kuna binamu yangu anahitaji kwenda kununua sasa tumeshindwa kumwambia.
 
maliedo

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
1,483
2,000
Kama shule uliyochaguliwa ni Mpya ,Fanya mchakato uhamie yoyote kongwe, mambo ya special achana nayo ,nenda kakate kitabu
 
Larkspur

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
205
500
Dah kweli mdg wangu bado una akili za O level! Nenda shule ukapige msuli wa kueleweka utatoboa tuu km uwezo upo acha kucheki majina ya shule, maana hata uko unapopataka kama hautapiga msuli kufaulu utakuskia kwa roommate tuu!

Kila la kherii..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom