Nina point tano kwenye PCM, Je ninaweza kuhamia special school yoyote hapa Tanzania

Ila Boi naskia jina LA shule ni muhim katika ushaishaji kaka ndo nimefocus apo watakavyosahisha mzumbe sio kama nanga kaka
dogoo huu upuuzi ....PCM haitakii siasa ww pigaa shulee tuuu narudiaa tenaa pigaa shulee....shulee kubwaa mwisho form four hkoo hkuu advance msulii wako tuuu...hakuna kipaji wlaa private.... kama ww kilazaa utaachwaa tuuu hamna namna
 
Mkuu samahani naomba kutoka nje ya mada kidogo,

Kama hautojali naomba unitajie vitabu vya form five kwa hii combination maana kuna binamu yangu anahitaji kwenda kununua sasa tumeshindwa kumwambia.
Chand..Nelkon ...Pure 1 na pure 2 Tranta...vingine atajuaa akiendaa shulee ....Physical 1 na physical 2 pamphlet za Ngaiza lusima...
 
Chand..Nelkon ...Pure 1 na pure 2 Tranta...vingine atajuaa akiendaa shulee ....Physical 1 na physical 2 pamphlet za Ngaiza lusima...
Asante mkuu, ila hapo kwenye chemistry kama sijakupata vile!
 
dogo kasome, Mimi nilichaguliwa runzewwle sec HGE nikapadis saana, lakini pepa nikatandaza B flat na wana walioenda hizo specio zenu wengi tu hawakunifikia.


special labda kama ni ufundi kama dit, mist au maji dar, lkn vinginevyo ikubali shule na upige kitabu
Sense...tena kwa mwaka huu itamuwea ngumu sana labda awe na watu.
 
Kwa point tano kupata pcm mzumbe uwe na one Kali below 13 at least kwa pcm unless other wise special utastruggle kupata au uwe kigogo labda
 
Back
Top Bottom