Huyu Jamaa kanichekesha sana jana,na nampongeza sana kwa ubunifu wake ila aliponiacha hoi ni pale aliposema kuwa eti hicho kitambulisho alikiokota so akawa anakipeleka Polisi ghafla yule Mother RPC akamstopisha na kumuuliza na hii picha hapa ni ya nani,jamaa akabaki ametoa macho kama fundi saa kapoteza nati.