Nina mke mzuri sana, ila hana akili kabisa!

shule imekusaidia sana aise.
Usimaind bruv. Pole na stress mkuu, mimi yalinikuta hayo hayo 2009 hadi 2010. Mtu anaamua kununa kwenye gari toka Mbeya hadi Arusha! Sababu hasemi. Mtoto baba mbulu mama kachanganya mwarabu na mnyaturu. Ilitoka kitu hio kila mkipita sehemu lazima vijana wagune. Ukitoa hela anafurahi, zikiisha kanuna! Eh. Kidogo niokote makopo aisee! Nilijikamua nikamnunlia gx110 nikaambiwa ni taxi. Anataka prado short chasis!
Hehehe aisee yule binti! Dah! Halafu akaja nisaliti. Hakuna mtu, kuanzia yeye, ndugu na marafiki walioamini kuwa naweza mpiga chini moja kwa moja. Ila ni mwaka wa 3 sasa, na mpaka wiki 4 zilizopita nafikiri, binti anaomba msamaha eti tuwe marafiki tu, sijawahi kujibu msg zake!
Such is life!
 
Wewe ndio huna akili kabisa kwa sababu unakuja kutoa siri za ndani na mkeo hadharani. Namshauri mkeo akupe wewe talaka 6.
 
Hapa kila m2 ataongea lake wapo watakao kupa ushauri mzurii na wngne ndio ivo. Muhamuzi ni ww, kumuacha hau uendelee nae. Mm nipo kwnye same situation tumeshaenda kwa wazazi mara kibao wanasema tuachane na bado narudiana nae, ikafika muda wakachoka kusikilza kesi zetu. Sasa najuta na kumbuka maneno yaho imefika hatu nmechoka namfanyia kila kitu, pocket money nampa kila wiki kwa ajili yake na mtto wetu. Nme mfungulia biashara tangia mwezi wa kwanza ajafungua ofisi ataki kufanya kazi kila siku anaumwa nikisema na myanyasa.
 

Du pole mkuu.Usichoke endelea kumtafutia washauri.
 
Du aise pole sana kaka.
 
Kumbe ulioa kichwa cha panzi? Maamzi yako yametulia kabisa! Kichwa cha panzi kwa karne hii hakifai kabisa mkuu timua fasta aiseeeeeeee! Ila nini kilikuponza? Uzuri wake au? Utafiti muhimu karibia asilimia 90 ya wanawake wazuri kupitiliza awanaga akili kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…