Nina Milioni 4 nahitaji gari

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habarini wakuu.

Nina kiasi cha shillingi millioni 4, nahitaji gari zuri kwa ajili ya mizunguko ya hapa mjini, lisiwe na ubovu, liwe katika hali nzuri.

Nipo Dar.
 
unahitaj gar ya aina gan mi ninako kagar kanaitwa march ila kapo mbali
 
nina tayota baloon imesima sana nichek kwenye 0755 099 291, pia kuna colola kama 2 hv
 
Habarini wakuu.

Nina kiasi cha shillingi millioni 4, nahitaji gari zuri kwa ajili ya mizunguko ya hapa mjini, lisiwe na ubovu, liwe katika hali nzuri.

Nipo Dar.

Mkuu kuna Baloon No. A,iko road ,kama vipi tuchekiane +25575592781(whatsap) nikutumie picha.............
 
Dili kama hizi utapata wauza magari wengi, tuliza akili ongea na maswahiba wako hapo hapo town.
 
Habarini wakuu.

Nina kiasi cha shillingi millioni 4, nahitaji gari zuri kwa ajili ya mizunguko ya hapa mjini, lisiwe na ubovu, liwe katika hali nzuri.

Nipo Dar.

angalia inbox ushindwe wewe kaka.
 
Ongeza hapo laki tano nakupa Toyota cresta safi kabisa. Ngoja nikutumie picha
 
Ongeza laki 5 chukua hii..inahitaji matengenezo kidogo tu
 
Hapa unaweza kuchezewa kekundu...kuwa makini mkuu.
 
Nenda Befoward unapata gari hata kwa m 6 unaagiza hiyo mbili Unatafuta ndani ya wiki sita-Saba humu utanunua nyumba ya kufugia bata na njiwa ohoo!
 
Habarini wakuu.

Nina kiasi cha shillingi millioni 4, nahitaji gari zuri kwa ajili ya mizunguko ya hapa mjini, lisiwe na ubovu, liwe katika hali nzuri.

Nipo Dar.

nina vits nyeupe ipo fresh kabisa 0713774746
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…