Nina miezi sita sijafanya mapenzi, mke wangu analea

Miezi sita mbona ruksaaa?????

Mtongoze vizuri mkeo


Anyway mmenionea Tyta mahala???

hamna kitu hapa..........typical psycho....
[h=3]Nilielalanae Jana, leo kanijia na mumewe na mapanga mkononi[/h] Started by Kitoabu, 22nd January 2014 15:11
halafu anapenda sana kutaja tarehe aonekane mkweli...

Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa ..........
 
Nisoma comment na thread yako nahisi bado wote Tunashangaa tu, mkeo nahisi amepata rungu la kukuchapia kutakuwa na tatizo zaidi ya ulichoelezea.

Ongeeni mtapata ufumbuzi hapa ni full chai kwenye swala hilo. Kila mtu atakupa uzoefu wake ambao pengine kwenye ndoa yako hauna mashiko.
 
Tulia bro maana kuna ukimwi huko nje wala sio jambo la kusadikika na ukitoka nje ukaupata utakuja ujute maisha yako yote ukienda kwa bek3 hakika familia yako itakuja kuwa ktk matatizo makubwa. Mkuu tulia UKIMWI NI HATARI
 
endelea kuvumilia kiongozi mwisho wa siku utakuta houseboy anajivinjari kiulaaaaainnnii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…